BREAKING NEWZZ...MRISHO Ngasa kasaini Mbeya City - The Choice

BREAKING NEWZZ…MRISHO Ngasa kasaini Mbeya City

0

ngassa-mbeya-city

Picha inayo-trend kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni ya Mrisho Ngasa na afisa habari wa Mbeya City Dismas Ten ambayo inaashiria tayari nyota huyo wa zamani wa Yanga ameshakamilisha deal na ‘wagonga nyundo wa Mbeya’ Mbeya City.

Share.

About Author