CHEKA ASWEKWA LUPANGO MOROGORO, AACHIWA KWA DHAMANA - The Choice

CHEKA ASWEKWA LUPANGO MOROGORO, AACHIWA KWA DHAMANA

0
Add caption

 

Bondia Francis Cheka ameswekwa rumande kabla ya kauchiwa kwa dhamana.
Bondia huyo amekumbana na hali hiyo kutokana na kufunguliwa kesi ya madai na promota Kaike Siraju ambaye anamdai fedha baada ya kuchukua malipo ya awali ili apigane na Dulla Mbabe siku ya Krismasi, lakini akagoma kupanda ulingoni.
Cheka aligoma kupanda ulingoni akitaka alipwe kwanza, lakini Kaike akasisitiza lishamtangulizia fedha.
Katika kituo cha Polisi mkoani Morogoro, Cheka aligoma kuingia rupango, lakini baadaye akaingia hadi alipotolewa kwa dhamana.

 

Kesi hiyo ya madai inamfanya Cheka kuwa na kesi wakati ana kesi nyingine ambayo alipata dhamana
Facebook Comments
Share.

About Author