CRISTIANO RONALDO AKIWA NA BABA YAKE MZAZI KABLA YA KUFARIKI - The Choice

CRISTIANO RONALDO AKIWA NA BABA YAKE MZAZI KABLA YA KUFARIKI

0
RONALDO NA BABA YAKE
Nilipokuwa mdogo,nilimuambia baba angu kuwa: “Tutakuwa matajiri na Na tutakuwa na nyumba nzuri na kubwa” , Baba alinijibu : “Mwanangu hyo ni ngumu” … Lkn Leo ninacho kile nilichomuambia baba, lkn sina baba yangu kwa Sasa amefariki dunia bila kukiona kile nilicho muahidi! – Cristiano Ronaldo Nikujuze tu,,, C Ronaldo ni mmoja kat ya wachezaji waliokulia ktk maisha ya kimaskini mno,,, Wameishi kwny nyumba yenye vyumba viwili tu vya kulala mpk alipokuwa akijielewa (balehe) Amechangia chumba yeye na dada zake ht pale alipokuwa timamu,,, (mvulana) Kutokana na hasira na ugumu wa maisha aliyopitia Ronaldo alihakikisha familia yake wanaishi mahali penye nafasi pale alipopata mshahara wa Kwanza tu (professional) Na mpk Sasa amenukuliwa Mara kadhaa akiuchukia umaskini na amekuwa akijitoa Mara kwa Mara kusaidia watu wanaoishi kwny hali ngumu,,, Anazifanyia kazi ndoto zake

 

Share.

About Author