Home Burudani Familia ya Diamond Yampa Tano Zari, Wema Sepetu…Mama Mobeto Akasirishwa na kuandika...

Familia ya Diamond Yampa Tano Zari, Wema Sepetu…Mama Mobeto Akasirishwa na kuandika ujumbe huu

273
0
FAMILIA ya Staa wa bongo fleva, Diamond Platinumz imewa imewamwagia misifa kwa kuwachambua waliowahi kuwa wapenzi wa kijana wao huyo ambapo imemtaja Zari The Boss Lady kama mwanamke msafi anayejua kutimiza wajibu wake kwa mwanamke, huku Wema akitajwa kuwa mwanamke anayejua kupika vizuri.

 Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mama Diamond amebainisha sifa kuu ya Zari kuwa msafi huku mwanaye, Esma akikoment na kusema Wema ni mtaalam wa mapishi.


Baada ya maneno hayo, Mama Mobeto naye aliibuka na kutoa povu lake huku akisihi mwanaye kuwa mvumilivu hasa katika wakati huu mgumu kwake.