GOOD NEWS KUMHUSU MBWANA SAMATTA - The Choice

GOOD NEWS KUMHUSU MBWANA SAMATTA

0

Nyota ya Mtanzania anyecheza katika klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji, Mbwa Samatta inazidi kung’aa baada ya jioni ya alhamisi ya Aprili, 6 kuandikwa katika ukurasa rasmi wa Ligi ya Vilabu Ulaya (UEFA Europa League) kama mmoja ya wachezaji wa kuchungwa.

Samatta ameandikwa kuwa mmoja ya wachezaji wa kuchungwa kufuatia kufunga magoli sita katika michezo mitano ya Genk iliyopita,

Share.

About Author