Home Michezo Habari mpya kutoka Simba leo 30 january 2019

Habari mpya kutoka Simba leo 30 january 2019

1303
0
Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine

Mabingwa wa soka nchini Tanzania klabu ya Simba wamewasili salama nchini Misri ambapo wameenda kwaajili ya mchezo wa klabu bingwa barani Afrika hatua ya makundi dhidi ya Al Ahly 2 February 2019.

Kupitia Ukurasa wa instagram wa Simba Wameandika ujumbe Huu hapa chini.

Kikosi chetu kimewasili salama mjini Alexandria, Misri ambapo siku ya Jumamosi Februari 2, 2019 kitacheza mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly