Home Michezo Haji Manara ashangazwa na Kutoitwa kwa wachezaji hawa Stars

Haji Manara ashangazwa na Kutoitwa kwa wachezaji hawa Stars

2363
0

Haji Manara ashangazwa na Kutoitwa kwa wachezaji hawa Stars

Baada ya Timu ya Taifa itakayoivaa Cape Verde kuitwa Afisa habari wa klabu ya Simba Haji manara ameshangazwa na waalimu wa kikosi hiko kushindwa kuwaita Ibrahim Ajibu wa Yanga na Erasto Nyoni wa Simba.

Akitumi ukurasa wake wa Instagram Haji Manara ameandika ujumbe Huu.

Kwa jicho langu pevu la footboll @shaabanidd43 Chilunda soon ataliteka Soko la Ulaya na atakuwa Star mkubwa Africa…ni mzuri miguuni na kichwani na footwork yake ni ya balaa kisha anajua kufunga..
NB..eti @erasto_nyoni18 na @ibrahimajibu23 hawajaitwa Taifa Stars? Okey tuendelee kuheshimu mawazo ya kocha na Wenye mamlaka