Hatimaye Diamond kumpatia Hamisa Mobeto kiasi hiki cha pesa kila Mwezi - The Choice

Hatimaye Diamond kumpatia Hamisa Mobeto kiasi hiki cha pesa kila Mwezi

0

Hatimaye Diamond amekubali kumgharamikia mtoto wake aliye zaa na Mwanamitindo Hamisa Mobeto kwa kumpatia zaidi ya Milioni 5 kila mwezi ikiwa ni kwa ajili ya matunzo ya mtoto wao waliyezaa naye aitwaye Abdul

Kesi yao iliweza kuisha jana baada ya hao wawili kufikia muafaka kwa pande zote mbili kuafikiana kwa pamoja.

Share.

About Author