HAWA NDO WASHINDI WA TUZO ZA EATVAWARDS USIKU WA LEO - The Choice

HAWA NDO WASHINDI WA TUZO ZA EATVAWARDS USIKU WA LEO

0

Kipengele cha tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume 2016 kimekwenda kwa Ali Kiba.

View image on Twitter

Kipengele cha tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike 2016 kimekwenda kwa Judith Wambura ( @JideJaydee )

View image on Twitter

Tuzo ya Heshima inayotolewa kwa mtu/taasisi yenye mchango mkubwa katika sanaa ya Tanzania inakwenda kwa Dj Bonny Love.

View image on Twitter

Tuzo ya Filamu Bora ya Mwaka 2016 imekwenda kwa filamu ya Safari ya Gwalu.

View image on Twitter

Wimbo wa Aje wa Ali Kiba umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka 2016.

View image on Twitter

Video ya wimbo wa Aje ya Ali Kiba imeshinda tuzo ya Video Bora ya Mwaka 2016.

View image on Twitter

Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kiume 2016 inakwenda kwa mwigizaji Salim Ahmed maarufu Gabo.

View image on Twitter

Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike 2016 inakwenda kwa mwigizaji Chuchu Hans.

View image on Twitter

Navy Kenzo wameshinda tuzo ya Kundi Bora la Muziki 2016.

View image on Twitter

Mwanamuziki Man Fongo ameshinda tuzo ya Mwanamuziki Bora Chipukizi 2016.

View image on Twitter
Share.

About Author