HAWA WACHEZAJI WA SIMBA WANASTAHILI ADHABU KWA UTOVU WA NIDHAMU - The Choice

HAWA WACHEZAJI WA SIMBA WANASTAHILI ADHABU KWA UTOVU WA NIDHAMU

0

JANA SIMBA ILIPOTEZA MCHEZO WAKE KWA KUFUNGWA GOLI 1 BILA NA TIMU YA URA TOKA NCHINI UGANDA,LAKINI KITUKO KILICHO JITOKEZA NI PALE WACHEZAJI WA SIMBA WALIPOKUWA WAKIFANYIWA MABADILIKO NA MWALIMU WAO MASOUD DJUMA KITENDO AMBACHO HAKIKUWAFURAHISHA WACHEZAJI HAO NA KUONYESHA UTOVU WA NIDHAMU DHAHIRI MBELE YA MWALIMU.

MABADILIKO YA KICHUYA PAMOJA NA MKUDE INAONYESHA HAWAKUPENDEZWA NAYO NA KUPELEKEA KUFANYA VITENDO VYA AIBU VYENYE UTOVU WA NIDHAMU WA KHALI YA JUU KWA WAO KUKATAA KUKAA KWENYE BENCHI NA KWENDA MOJAKWA MOJA VYUMBANI HUKU MKUDE AKIBADILISHA NA JEZI NA KURUDI UWANJANI KUKAA NA MASHABIKI HUKU KICHUYA AKIENDA PEMBENI KWA MASHABIKI KUKAA NAYE NA KUANGALIA MPIRA HUKU AKIWEKA HEAD PHONE MASKIONI NA KUSIKILIZA KITU KUTOKA KWENYE SIMU YAKE.

UONGOZI WA SIMBA UNAPASWA KUCHUKUA HATUA KALI JUU YA VITENDO HIVI KWANI BILA KUFANYA HIVYO UONGOZI UTAKUWA UMEMDHALILISHA MWALIMU WAO MASOUD DJUMA .

1,597 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author