HII NDO MISHAHARA YA BENCHI LA UFUNDI LA YANGA,TAZAMA HAPA,WA MWISHO HUPATA LAKI MBILI NA NUSU - The Choice

HII NDO MISHAHARA YA BENCHI LA UFUNDI LA YANGA,TAZAMA HAPA,WA MWISHO HUPATA LAKI MBILI NA NUSU

0
1Benchi la ufundi klabu ya Yanga kabla ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania Bara lilikuwa likiundwa na jumla ya watu 10 akiwemo aliyekuwa kuwa kocha mkuu kwa wa wakati huo Hans De Pluijm.

Hapa chini ni orodha ya majina na mishahara ya viongozi wa benchi la ufundi la Yanga.

Na.JinaJumla ya MshaharaKodiMshahara halisi
1Hans De Pluijm31,188,7149,238,71821,950,000
2Juma Mwambusi6,974,4291, 974,4295,000,000
3Juma Pondamali2,403,000603,0001,800,000
4Shadrack Nsajigwa1,974,429474,4291,500,000
5Dr. Edward Bavu1,545,857345,8751,200,000
6Hafidhi Salehe1,188,714238,714950,000
7Mahmoud Omary431,37531,375400,000
8Jacob Onyango368,87518,875350,000
9Mohames Mposo263,6818,431255,250
10Wanne Mkisi1,045,857195,875850,00

 

Facebook Comments
Share.

About Author