HII NDO WEBSITE YA CLUB INAYOTEMBELEWA SANA ZAIDI YA VILABU VYOTE DUNIANI - The Choice

HII NDO WEBSITE YA CLUB INAYOTEMBELEWA SANA ZAIDI YA VILABU VYOTE DUNIANI

0

dfgfds

Kwa club kubwa zenye maendeleo duniani website(tovuti) ni sehemu muhimu kwenye biashara yake. Mara nyingi hutumika kama duka la mtandaoni kuuza vitu mbalimbali vyenye chapa ya club hiyo kwenye soko la dunia nzima.

Kazi nyingine kubwa ni kutoa taarifa rasmi au kuongeza thamani ya wadhamini wa club zao. Hivyo basi ni muhimu sana kuzingatia kiasi cha watu wanaotembelea website hizo.

Takwimu mpya kutoka UEFA zimetoa namba kwa kila website ya club husika inatembelewa na watu kiasi gani. Manchester United imeongoza ikifuatiwa na Arsenal. Liverpool imetokea kuwa ya tatu ikifuatiwa na Real Madrid na Barcelona.

Hii hapa ni listi kamili ya jinsi website za club zinavyotembelewa kwa kila mwezi.

C19RwomWgAAOX13

Facebook Comments
Share.

About Author