HIVI NDIVYO ALEX SANCHEZI ALIVYOTUA MAN UNITED - The Choice

HIVI NDIVYO ALEX SANCHEZI ALIVYOTUA MAN UNITED

0
Alexis Sanchez ametua makao makuu ya klabu ya Manchester United eneo la  Carrington.
Sanchez ametua na ndege ya kukodi tayari kufanya vipimo via kujiunga na Manchester.
Sanchez wakati anajiunga na timu hiyo, kiungo Henrikh Mhkitaryan atajiunga na Arsenal.

 

Share.

About Author