Hizi ndizo video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016 - The Choice

Hizi ndizo video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

0

Inahitaji nguvu ya ziada kufikisha views milioni 2 kwa mwaka mwenye mtandao wa Youtube. Tumekuandalia orodha ya video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016. Hizi ni zile ambazo zina zaidi ya views milioni 2 peke yake.

1. Diamond f/ Raymond – Salome


Imetoka: Sep 18, 2016
Views: Milioni 11
Comments: 7,329

2. Harmonize f/ Diamond – Bado


Imetoka: Feb 29, 2016
Views: Milioni 10
Comments: 3,310

3. Diamond f/ P-Square – Kidogo


Imetoka: Jul 12, 2016
Views: Milioni 8.2
Comments: 5,032

4. AY feat. Diamond – Zigo Remix


Imetoka: Jan 22, 2016
Views: Milioni 8.1
Comments: 3,636

5. Diamond and AKA – Make Me Sing


Imetoka: Feb 12, 2016
Views: Milioni 5.8
Comments: 3,054

6.Raymond – Kwetu


Imetoka: Apr 14, 2016
Views: Milioni 5.2
Comments: 2,886

7. Alikiba – Aje


Imetoka: May 19, 2016
Views: Milioni 5.1
Comments: 4,394

8. Harmonize – Matatizo


Imetoka: Jul 4, 2016
Views: Milioni 4.4
Comments: 3,093

9. Sauti Sol and Alikiba – Unconditionally Bae


Imetoka: Mar 10, 2016
Views: Milioni 4.1
Comments: 3,161

10. Dully Sykes f/ Harmonize – Inde


Imetoka: Aug 11, 2016
Views: Milioni 3.8
Comments: 1,761

11. Chege f/ Diamond – Wacha Waone


Imetoka: Aug 4, 2016
Views: Milioni 3.5
Comments: 1,682

12.Raymond – Natafuta Kiki


Imetoka: Aug 31, 2016
Views: Milioni 3
Comments: 1,406

13. Rich Mavoko – Imebaki Story


Imetoka: Jun 2, 2016
Views: Milioni 2.7
Comments: 2,135

14. Darassa ft Ben Pol – Muziki


Imewekwa: Nov 23, 2016
Views: Milioni 2.4
Comments: 2,613

15. Navy Kenzo – Kamatia


Imetoka: Jan 27, 2016
Views: Milioni 2.38
Comments: 1,023

16. Alikiba – Lupela


Imetoka: Feb 7, 2016
Views: Milioni 2.37
Comments: 2,785

Facebook Comments
Share.

About Author