HUYU NDO MCHEZAJI ANAYE LIPWA PESA NYINGI TANZANIA - The Choice

HUYU NDO MCHEZAJI ANAYE LIPWA PESA NYINGI TANZANIA

0

wawa

Wachezaji wa yanga na azam hulipwa mishahara mikubwa sana tofauti na timu zingine hapa tanzania

Yanga

Tambwe, Analipwa mshahara wa Sh6,200,000. Anakatwa kodi ya Sh2,179,900. Mshahara anaobakiwa nao ni Sh4,020,000.
Azam FC

Azam FC. Wawa analipwa Sh9,200,000. Anakatwa kodi ya Sh3,289,900. Fedha anazobakiwa nazo ni Sh5,910,100.

Facebook Comments
Share.

About Author