IGP Sirro amesema Tundu Lissu akipona aulizwe kama alishawahi kuripoti Polisi kuhusu kutishiwa maisha. - The Choice

IGP Sirro amesema Tundu Lissu akipona aulizwe kama alishawahi kuripoti Polisi kuhusu kutishiwa maisha.

0

siro

IGP Simon Sirro akijibu swali la Mwanahabari, amesema Tundu Lissu akipona aulizwe kama alishawahi kuripoti Polisi kuhusu kutishiwa maisha.
.
IGP pia amesema Jeshi la Polisi linachunguza matukio yote ya uhalifu nchini likiwemo la kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.

Share.

About Author