Katuni ikionyesha ugomvi wa Ruge na Manager wa Diamond - The Choice

Katuni ikionyesha ugomvi wa Ruge na Manager wa Diamond

0

Ugomvi kati ya Ruge na Manager wa Diamond Sallam unazidi kuchukua sura mpya kila kukicha kutokana.ugomvi unao husishwa sana na mvutano wa kimaslahi au watoto wa mjini wanaita wadhifa ndo unao semekana hadi kupelekea hapo walipo.

Leo hii kumesambaa katuni ikiwahusisha wahusika hao wawili huku hiyo katuni ikiwa na tafsri mbalimbali kwa kila anaye iangalia

 

2,804 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author