Mabasi haya kufungiwa baada ya kuandika maneno haya kwenye TIKETI ZAO - The Choice

Mabasi haya kufungiwa baada ya kuandika maneno haya kwenye TIKETI ZAO

0

Daladala zitokazo mbagara kwenda kivukoni kutoka kampuni moja imejitia katika matatizo baada ya kuandika maneno yasiyofaa kwenye Tiketi zao.Tiketi hizo zinazo onyesha Jina la Kampuni na namba za gari zimekuwa gumzo kwa raia watumiao mitandao Tanzania.

Share.

About Author