Makocha 20 wa EPL wanaovaa saa za gharama - The Choice

Makocha 20 wa EPL wanaovaa saa za gharama

0

Mtando wa dailymaily.co.uk umetoa orodha ya makocha 20 waligi kuu ya Uingereza ambao wanavaa saa za thamani zaidi – kocha wa Burnley Sean Dyche ndio amekuwa namba moja kwa kuvaa saa yenye thamani zaidi.

Mtandao huo umeitaja saa anayotumia kocha Sean Dyche ni Patek Philippe 5990/1A yenye thamani ya paundi 45,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 120 kwa fedha za kitanzania.


1.SEAN DYCHE (£45,000) – BURNLEY


2.RONALD KOEMAN (£35,850) – EVERTON


3.DAVID MOYES (£30,000) – SUNDERLAND


4.SAM ALLARDYCE (£27,700) – CRYSTAL PALACE


5.JOSE MOURINHO (£25,000) – MANCHESTER UNITED


6.TONY PULIS (£15,950) – WEST BROM


=7.ANTONIO CONTE (£10,000) – CHELSEA


=7.AITOR KARANKA (£10,000) – MIDDLESBROUGH


9.MIKE PHELAN (£8,900) – HULL CITY


10.ARSENE WENGER (£8,350) – ARSENAL

Tazama hapa chini List kamili

Facebook Comments
Share.

About Author