MCHEZAJI THOMAS ULIMWENGU AMTEMBELEA MDAU WA SOKA NCHINI SHAABAN TIPPO JIJINI DAR LEO. - The Choice

MCHEZAJI THOMAS ULIMWENGU AMTEMBELEA MDAU WA SOKA NCHINI SHAABAN TIPPO JIJINI DAR LEO.

0

Mchezaji wa Kimataifa kutoka nchini Tanzania ambaye kwa sasa anaichezea timu ya TP Mazembe ya nchini Kongo-DRC,Thomas Ulimwengu mapema leo akiwa katika picha ya pamoja na Mdau mkubwa wa Soka hapa nchini (pichani shoto),Othman Shaaban Tippo a.k.a Zizzou.Mchezaji huyo Mshambuliaji wa TP Mazembe amemtembelea mdau huyo anaemiliki duka la vifaa vya michezo lililopo maeneno ya Bamaga,Sinza jijini Dar na kumjulia hali,Ulimwengu amemshukuru na kumtakia afya njema na heri  Mdau Tippo katika shughuli zake mbalimbali,Tippo amempatia vifaa kadhaa vya michezo mchezo huyo Thomas Ulimwengu.
Share.

About Author