Mmiliki Wa Leicester City Atua Mazoezini Kwa Helikopta - The Choice

Mmiliki Wa Leicester City Atua Mazoezini Kwa Helikopta

0

Makamu Mwenyekiti wa Leicester City, Aiyawatt Srivaddhanaprabha akiwasili Uwanja wa mazoezi wa timu hiyo leo wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Leicester City Uwanja wa King Power kesho

Facebook Comments
Share.

About Author