Home Magazeti Msemaji wa Yanga aandika Ujumbe huu baada ya Ugomvi wa Haji Manara...

Msemaji wa Yanga aandika Ujumbe huu baada ya Ugomvi wa Haji Manara na Abdu Banda

163
0

Baada ya Haji Manara kushutumiana na Banda mitandaoni hatimaye Msemaji wa Yanga Dismas Ten kaandika neno hili mtandaoni kwake akiashiria jambo flani lililopo na ambalo ni kuhusu Haji na Banda