MSUVA AWA GUMZO NCHINI MOROCCO,ASHIKA NAFASI YA PILI KWA UFUNGAJI,TAZAMA MAGOLI YAKE - The Choice

MSUVA AWA GUMZO NCHINI MOROCCO,ASHIKA NAFASI YA PILI KWA UFUNGAJI,TAZAMA MAGOLI YAKE

0

Mtanzania @msuva27 amefikisha magoli matano kwenye ligi kuu nchini Morroco akishika nafasi ya pili kwa ufungali akiwa nyuma ya anaeongoza kwa magoli mawili.
Mpaka sasa Msuva ana magoli 8 kwenye timu yake matano yakiwa ya ligi na matatu yakiwa ya Cup.
Mungu azidi kumtia nguvu na kumfanyia wepesi aendelee kupeperusha vyema bendera ya nchi yetu. “Nina Imani nitafanikiwa kufunga magoli mengi zaidi kwani kila kukicha nazidi kuzoea mazingira ya uku na kuizoea ligi pia namshukuru Mungu kwa kila hatua kwani yeye ndio nguzo yangu”-alisema msuva akiongea na Balozisportsiteonline mara baada ya mchezo wa leo hii dhidi ya Hassania Agadir

2,339 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author