Mwanzo Nape alionekana Msaliti,Hakika sasa ndo shujaa wa kweli. - The Choice

Mwanzo Nape alionekana Msaliti,Hakika sasa ndo shujaa wa kweli.

0

NAPE

Kipindi kile wakati Waziri Nape akipinga njia iliyotumika katika kuwatangaza wahusika wa madawa ya kulevya iliyo ongozwa na RC Paul Makonda,Hakika alionekana ni msaliti na hata wengine kumuona kama naye anashirikiana nao katika biashara hiyo,ila kutokana na ukomavu wake kisiasa aliamua kukaa kimnya na kuona kitu gani kitatokea hatimaye wote tumeshuhudia kilicho tokea.Hatimaye Kituo cha Radio kimevamiwa na RC MAKONDA tumeona jinsi Waziri alivyo lishughulikia kwa kufwata utaratibu sahihi kabisa.Hakika Nape kaonyesha ukomavu na uzoefu katika uongozi hadi nadiriki kusema mwanzo alionekana msaliti sasa ndo SHUJAA WA KWELI.

Facebook Comments
Share.

About Author