Home News NAIBU WAZIRI WA NISHATI AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI

NAIBU WAZIRI WA NISHATI AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI

383
0

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumzia mikakati ya serikali ya kuwafikishia wananchu umeme wa uhakika na kwa gharama nafuu, Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa iringa, Ally Happi

Naibu Waziri akicheza na wananchi wa kijiji cha Ikondosi wilayani mufindi

Akikagua kituo binafsi cha kuzalisha umeme cha Mwenga ambacho kinazalisha megawati 4 na kuunganishwa umeme vijiji 32