NIKKI wa Pili Awapa za Uso Bongo Movies Kwa Kutafuta Kiki Zisizo na Maana - The Choice

NIKKI wa Pili Awapa za Uso Bongo Movies Kwa Kutafuta Kiki Zisizo na Maana

0

Nikki wa Pili anasema “Wasanii wa Bongo Movie ni wakubwa na wenye ushawishi mkubwa sana! Ila wanashindwa kuutumia ushawishi wao katika ku-promote kazi zao! Ndio maana Bongo Movie inayumba!” ●

Akiwa na maana kuwa mtu kama @wolperstylish, @auntyezekiel na hata @elizabethmichaelofficial ni watu ambao tunawasikia kwenye Kiki mbali mbali kila kukicha ila kibaya ni pale kiki zao zinapokuwa haziambatani na kazi zao! ●

Nikki ametoa pongezi kwa Wana Bongo fleva kwa utaratibu wao wa kufanya Kiki kabla ya kutoa ngoma akidai kwamba Kiki zinasaidia kutangaza kazi zao na kufanya sanaa yao inakua tofauti na Bongo Movie ambao mara nyingi Kiki zao haziambatani na Kazi zao. ●

Mfano mzuri @nikkwapili ameutoa kwa @iambenpol ambaye aliamua kuchukua attention za watu kabla ya kuachia ngoma yake ya #Tatu ikiwa ni Nadra sana kuona mambo kama hayo kwenye Tasnia ya Bongo Movie

Share.

About Author