Home Burudani “Nina Hasira, Mimi Nina Uchungu na Nchi Yangu” –Ruge Mutahaba

“Nina Hasira, Mimi Nina Uchungu na Nchi Yangu” –Ruge Mutahaba

174
0

Ruge Mutahaba ambaye ni Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group ni miongoni mwa washiriki waliosimama kutoa darasa katika semina ya Wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma (UDOM) iliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa kubadilisha fikra na kutimiza wajubu wao katika sekta ya elimu na jamii kwa ujumla.

“Tukae tuambiane ukweli, matatizo ya kwetu sisi ni kitu cha kujivunia kwasababu ndio sehemu ya kujipatia. Kwanini hakuna mtu humu ndani anaanzisha kitu ambacho kinabeba na kinaweka wasanii wote na kutengeneza pesa? Tuache kulalamalalama”- Ruge Mutahaba