Niyonzima Kitu gani Bana,Fundi Huyu WAKIMATAIFA Yuko tayari kutua Yanga - The Choice

Niyonzima Kitu gani Bana,Fundi Huyu WAKIMATAIFA Yuko tayari kutua Yanga

0

Image result for Zimiseleni Moyo vs yanga
Kiungo RASTA Raia wa Zimbabwe Zimiseleni Moyo anayecheza ZANACO ya Zambia  amesema yuko tayari Kusaini Yanga, Kiungo huyo ni yule aliyewapoteza kabisa Viungo wa Yanga katika mechi mbili za Klabu Bingwa Taifa na Zambia Yanga Ilipocheza na Zanaco mwaka Huu.

Zimiseleni Moyo shines at Zanaco
Kiungo wa ZANACO Zamiselemi Moyo akiwania Mpira na Niyonzima Picha na Michuzi.

Kama Dili hilo litafanikiwa itakuwa Shangwe kwa Kamusoko kwani atakutana na Rafiki yake wa Utotoni ambaye waliwahi kucheza wote katika klabu ya Highlanders ya Zimbabwe.

Licha ya kuwa Mchezaji mzuri wa Eneo la Kati ya Uwanja Mchezaji huyo kama Yanga watampata watakuwa na Faida moja kubwa kwani anauwezo wa Kucheza Namba zaidi ya Moja kwa Ustadi Mkubwa.
Share.

About Author