Obrey Chirwa akutana na Rungu la TFF,apewa adhabu hii - The Choice

Obrey Chirwa akutana na Rungu la TFF,apewa adhabu hii

0
----mwisho-----

Breaking: Obrey Chirwa akutana na Rungu la TFF,apewa adhabu hii

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga Obrey Chirwa amekumbana na Rungu la Shirikisho la Soka Nchini Tanzania TFF mara baada ya kukutwa na Hatia ya Kumpiga Mchezaji wa Tanzania Prisons.

Chirwa amehukumiwa na kukaa nje Mechi 3 pamoja na Adhabu ya laki 5 kwa kosa Hilo la Kumpiga mchezaji wa Prisons.

Kupitia Ukurasa wake wa TFF wa Twitter wameandika

Kwa maana hiyo Obrey Chirwa atakosekana kwenye mchezo kati ya Yanga na Mwadui kesho kutwa siku ya Jumatano uwanja wa Uhuru na Michezo miwili zaidi Itakayofuata ya Yanga.

Share.

About Author