Oscar Pistorious asomewa hukumu kwa kosa la kumuua mpenzi wake - The Choice

Oscar Pistorious asomewa hukumu kwa kosa la kumuua mpenzi wake

0

Mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius aliyekuwa nakabiliwa na shtaka la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp leo amesomewa hukumu ya kesi hiyo nchini Afrika Kusini.

Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka 6 gerezani kwa kukutwa nahatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kwa kumpiga risasi.

 

Pistorius alitenda kosa hilo Februari 13, 2013 ikiwa ni usiku wa kuamkia siku ya Valentine Day na inaelezwa alimpiga mpenzi wake risasi kwa madai alidhani ni mwizi aliyekuwa amejificha bafuni.

Facebook Comments
Share.

About Author