Picha: Gari mpya ya Cristiano Ronaldo aliyonunua baada ya kutwaa Ubingwa wa Ulaya - The Choice

Picha: Gari mpya ya Cristiano Ronaldo aliyonunua baada ya kutwaa Ubingwa wa Ulaya

0

RONALDO

Mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Ureno, ambaye pia ni Mchezaji wa Klabu ya Real Madrid na Nahodha wa timu yake ya Taifa , Cristiano Ronaldo (31) ameamua kuwaonyesha mashabiki wake wa mpira zawadi aliyoamua kujizawadia baada ya kusadia Timu yake ya Taifa kutwaa Ubingwa wa Kombe la Ulaya mnamo mwezi July mwaka huu.

Ikiwa ni siku chache kabla ya kuanza msimu mpya wa Ligi ya Hispania (La Liga), Cristiano Ronaldo amepost katika ukurasa wake wa Instagram gari mpya yake mpaya aina ya Bugatti Veyron – 16.4 Grand Sport version (255-mph) yenye thamani ya £1.7 m ambayo ni sawa na takribani TZS 488 m yenye uwezo wa kuenda kuanzia 0-62 mph kwa sekunde 2.6.

Cristiano Ronaldo has given his fans a glimpse of his new £1.7million black Bugatti Veyron

Ronaldo's new Bugatti is his latest prized possession, joining his Lamborghini Aventador

Real Madrid star Ronaldo showed off his supercar with a video posted to his Instagram pageReal Madrid star Ronaldo showed off his supercar with a video posted to his Instagram page

Ronaldo treated himself to a new Bugatti after Portugal's success at Euro 2016 this summer

Ronaldo's video showed him driving the supercar at his home on the outskirts of Madrid 

Ronaldo is the owner of one of only 450 Bugatti Veyron 16.4 Grand Sport's to be made

The Bugatti Veyron boasts a top speed of 255-mph and is the fastest legal road car available

Facebook Comments
Share.

About Author