Mabasi ya mwendokasi yamesitisha safari zake za kutoka na kwenda katikati ya jiji baada ya maji kujaa eneo la Jangwani, Dar es Salaam kutokana na mvua inayoendea kunyesha.
Afisa Habari wa UDART, Deus Buganywa amesema huduma za usafiri zitarejeshwa pindi hali itakapokuwa shwari.
6,327 total views, 3 views today
Facebook Comments