Ramadhan Singano Kila Kitu Fresh na Waarabu - The Choice

Ramadhan Singano Kila Kitu Fresh na Waarabu

0

Image result for ramadhan singano
Ramadhan Singano amefuzu Vipimo vya Afya vya klabu ya Difaa Al Jadida inayoshiriki ligi Kuu ya Morocco. Kwasasa anachosubiri Ramadhan Singano Messi ni Viza Tu ili aende zake Uarabuni Kuliamsha Dude.

Singano anaelekea Kumaliza mkataba wake na Azam na Taarifa za mapema zilisema Singano alikataa kuongeza mkataba Azam Fc.

Facebook Comments
Share.

About Author