SIKUTEGEMEA ALI KIBA UFANYE KITU CHA AJABU NAMNA HII...TAFADHALI USIRUDIE TENA - The Choice

SIKUTEGEMEA ALI KIBA UFANYE KITU CHA AJABU NAMNA HII…TAFADHALI USIRUDIE TENA

0

aje

LEO HII MSANII  ALI KIBA AMEACHIA REMIX YA VIDEO NA NYIMBO YA AJE.BAADA YA KUPATA TAARIFA JUU YA ALIKIBA KUTOA REMIX YA AJE NILIPATA SHAUKU YA KUTAFUTA VIDEO NIWEZE KUIANGALIA KWA RAHA ZANGU KUTOKANA NA ILE YA MWANZO KUWA NA KASORO BAADHI.

BAADA YA MDA MFUPI NIKAIPATA NA NIKAANZA KUIANGALIA ,HAKIKA KILA ILIVYOKUWA INAZIDI KWENDA MBELE MAWAZO YALIANZA KUNIJIA MBONA SIONI VITU NILIVYOTEGEMEA,MBONA BORA HATA YA MWANZO.HAKIKA BORA ASINGETOA REMIX.KWANI INA MAPUNGUFU MENGI SANA.

BAADHI YA MAPUNGUFU KATIKA REMIX HII YA AJE

  1. AUDIO HAINA TOFAUTI NA ILE YA MWANZO,SO HAINA MAANA YA KUITWA REMIX
  2. LOCATION YA VIDEO NI MOJA ILEILE IKIWA IMEZUNGUKWA NA TAA PEKEE
  3. MBAYA ZAIDI KWA NINI MSANII ALIYE SHIRIKISHWA M.I HAONEKANI KATIKA VIDEO HII YA REMIX,ILE YA KWANZA HAKUONEKANA TUKATEGEMEA HII YA PILI PIA HAYUPO SO HAINA MAANA YA REMIX.HII REMIX INAIKOSEA HESHIMA AJE YA MWANZO ILIYO MPATIA HESHIMA KUBWA.
  4. PIA VIDEO INA GIZA SANA NA MPANGILIO WA UCHEZAJI HAUJAWA MZURI KABISA

Ali Kiba ft MI (Video) – Aje Remix | Mp4 Download

Facebook Comments
Share.

About Author