Home Burudani UJUMBE WA ALIKIBA KUHUSU WATU WALIO IHARIBU VIDEO YAKE YOU TUBE

UJUMBE WA ALIKIBA KUHUSU WATU WALIO IHARIBU VIDEO YAKE YOU TUBE

141
0

 

 • officialalikibaTunafahamu tatizo la kutokuongezeka kwa views kwenye akaunti ya YouTube ya ALIKIBA, na tupo kwenye mawasiliano ya moja kwa moja na makao makuu ya YouTube Africa ambao wanafanya kila jitihada kutatua tatizo hili kwa haraka iwezekanavyo.
  :
  Shukrani kwa uvumilivu wenu na support mnayoendelea kutupa! Endeleeni kuangalia video ya #MvumoWaRadi
  #KingKiba
  We are fully aware of the viewership matter on ALIKIBA YouTube Channel and we are in direct contact with the YouTube Africa Headquaters who are doing their very best to solve this matter as soon as possible
  We thank you for your concern and constant support and keep watching the #MvumoWaRadio video.
  #KingKiba