USAJILI: Alichosema Msuva kuhusu Kujiunga Simba hiki hapa - The Choice

USAJILI: Alichosema Msuva kuhusu Kujiunga Simba hiki hapa

0

Image result for simon msuva 2017

Mchezaji Simon Msuva anayekipiga katika timu ya Yanga amekuwa akitajwa kuwaniwa na wapinzani wao wa Jadi Simba, Simon Msuva ameweka wazi juu ya Suala Hilo.

Ndugu mtembeleaji wa MsindiForums, Msuva akiongea moja ya Vipindi vya Ea Radio amesema ” Mimi Kutoka Yanga kwenda Simba ntakuwa na Akili Fupi, Kwanza bado nina mkataba wa Kucheza Yanga mwaka mmoja zaidi baada ya Msimu Huu kuisha,  Nikitoka Yanga nataka Niende mbele zaidi ,Kwasasa Sifikirii kucheza Tanzania “

Msuva amekuwa na kiwango bora zaidi Msimu huu kiasi cha Kutajwa kusakwa na Vilabu vya ndani na nje ya Tanzania.

552 total views, 2 views today

Facebook Comments
Share.

About Author