USAJILI :Yanga na Simba zapingwa bao na Singida United kumsajili Fundi huyu.. - The Choice

USAJILI :Yanga na Simba zapingwa bao na Singida United kumsajili Fundi huyu..

0

Wakati timu nyingi zikielekea Kujipanga kwaajili ya Msimu ujao wa Ligi na Michuano mbalimbali yule Fundi Mpira wa Mbeya City Kenny Ally Mwambungu aliyekuwa akitajwa Yanga na Simba basi amethibitisha Kufanya mazungumzo na Kukubaliana Kujiunga na Singida United.

Kenny Ally ni mmoja kati ya wachezaji waliofanya vizuri sana msimu wa 2016/2017 kiasi cha kuwa ndani ya Kikosi cha wachezaji Bora wa Msimu huu.
Share.

About Author