VIDEO: Goli na Highlights za mechi ya Simba vs JKT Ruvu, Full Time 1-0 - The Choice

VIDEO: Goli na Highlights za mechi ya Simba vs JKT Ruvu, Full Time 1-0

0

Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 umeendelea tena leo December 24 kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja tofauti TanzaniaSimba walikuwa uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kucheza dhidi ya JKT Ruvu, Simba walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli likifungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 49.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Share.

About Author