VIDEO:Baba yake Diamond aongea kwa uchungu na kusema Nikifa Diamond na Queen Dareen wasinizike - The Choice

VIDEO:Baba yake Diamond aongea kwa uchungu na kusema Nikifa Diamond na Queen Dareen wasinizike

0

Baba yake diamond ameongea kwa uchungu katika kituo cha clouds tv kupitia kipindi cha shilawadu akiwalaumu watoto wake Diamond na Queen Dareen kuwa wamemsusa na hataki waje kwenye msiba wake siku akifa.

Share.

About Author