WALICHO ANDIKA KATIKA MTANDAO WA TFF NI AIBU KUBWA KWA TAIFA - The Choice

WALICHO ANDIKA KATIKA MTANDAO WA TFF NI AIBU KUBWA KWA TAIFA

0
----mwisho-----

tff

Hakika TFF inayo ongozwa na Jamali Malinzi ni jinsi gani inajidhihirishia kufeli katika kuongza soka la Tanzania,Kwa hali hii huwezi kushangaa kwa nini tunaporomoka kila kukicha katika viwango vya soka duniani.Leo nilijaribu kupitia mtandao wa TFF kujua takwimu za wafungaji bora kwa msimu huu wa 2016-2017 cha ajabu nimeshtushwa nilipo kuta jina la HAMIS KIIZA ambaye wala hachezi soka tanzania kwa sasa bali yuko South Africa ndo nikatambua kuwa ule msimamo bado ni wa mwaka jana.Kwa hasira nikafunga mtandao wao nikaendelea na mambo mengine kwani ni kichefuchefu tu.

Share.

About Author