Wananchi wanagawanyika,wabunge wanagawanyika,CCM inagawanyika kisa MAKONDA. - The Choice

Wananchi wanagawanyika,wabunge wanagawanyika,CCM inagawanyika kisa MAKONDA.

0
----mwisho-----

RC-Makonda

Wananchi wanagawanyika,wabunge wanagawanyika,CCM inagawanyika kisa MAKONDA.

Hivi ndivyo hali ilivyo kwa sasa kutokana na matendo yanayoendelea kutendeka na RC Makonda.Sasa tunaona jinsi wananchi wanavyogawanyika kuhusu makonda na utendaji wake wa kazi,shutuma dhidi ya kughushi vyeti inayo mwandama ni miongoni mwa kashfa kubwa zinazofanya watu wahoji kwa nini asiwajibishwe?na bado anaendelea kuwa RC.

SWALA BAYA ZAIDI ni lile la kuvamia kituo cha radio Clouds akiwa na askari wenye silaha.

Sasa tunaona wabunge nao washaanza kugawanyika kisa Makonda,isitoshe hadi chama cha CCM sasa kinagawanyika kisa Makonda

Share.

About Author