Wasanii wa Muziki toka Tanzania Washushwa juukwaani Kenya - The Choice

Wasanii wa Muziki toka Tanzania Washushwa juukwaani Kenya

0
----mwisho-----

KENYA: Kundi la wasanii wa muziki wa Tanzania kutoka visiwani Zanzibar, Off Side Trick, walishushwa jukaani na kusababisha kufungwa kwa tamasha la utamaduni la Lamu huko Mombasa baada ya kucheza mtindo usiofaa wenye kukiuka maadili.

Mkurugenzi Msaidizi wa Nyumba ya Maonyesho wa Kenya, Bwana Athman Hussein, amesema kuna haja ya kuwahakiki wasanii kabla hawajapanda jukwaani kutokana na kitendo hicho cha kudhalilisha mji

Share.

About Author