Yanga wafikia kwenye Hoteli ya nyota mbili jengo lenye rangi ya Njano kama wao - The Choice

Yanga wafikia kwenye Hoteli ya nyota mbili jengo lenye rangi ya Njano kama wao

0
----mwisho-----

Msafara wa Yanga SC umewasili salama jijini Gaborone nchini Botswana tayari kuwavaa Town Rollers jumamosi hii. Pichani ndio hoteli ya Hotel Crystal Palace waliyofikia wawakilishi hao wa Tanzania klabu bingwa Afrika.

Share.

About Author