YANGA WALIA NA KOMBE LA UBINGWA BARA, WADAI NI LA "MCHINA" - The Choice

YANGA WALIA NA KOMBE LA UBINGWA BARA, WADAI NI LA “MCHINA”

0

Yanga wamesema kombe la ubingwa wa Tanzania Bara, “Ni la Mchina”.

Uongozi wa klabu ya Yanga umebeba kombe la 26 na kusisitiza kuwa halina thamani ambayo linastahili.

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerrry Muro alisema Shirikisho la Soka Tanzania TFF na wadhamini wa ligi kuu hiyo, hivyo amewashauri kuboresha makombe yao watakayoyatoa kwenye misimu ujao.

“Lile kombe kwa kweli halina hadhi, lina michubuko kibao,” alisema.

“Hivyo nawashauri TFF na wadhamini wetu wa ligi ni vema wakariboresha kombe hilo, pia ni lazima liwepo moja litakalofanana na siyo kubadilishwa kila msimu.”

Kawaida, makombe ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara yamekuwa yakilalamikwa

Share.

About Author