YANGA YAVUNJA KIBUBU YAMNASA HUYU WA KIMATAIFA WA BURKINA FASO. - The Choice

YANGA YAVUNJA KIBUBU YAMNASA HUYU WA KIMATAIFA WA BURKINA FASO.

0
Klabu ya Yanga imeripotiwa kukamilisha mazungumzo na  nyota wa kimataifa wa Burkina Faso “Aristide Bance” ili kuweza kujiunga na klabu hiyo ili kutumika katika msimu ujao.
Straika huyo ambae kwa sasa anakipiga katika klabu ya ASEC Mimosas, ambapo mpaka sasa amekwisha kuzichezea klabu 19 na katika nchi  11 ndani ya miaka 17.
Mmoja wa viongozi wa klabu ya yanga amenukuliwa akisema kua, ” Tumemsajili Aristide na tumejidhatiti ya kua hata kama mshahara anaoupata katika klabu yake haulingani na ule tunao mlipa Donald Ngoma.”
Huu utakua usajili babukubwa msimu huu ukilinganishwa na ule uluokwisha kufanywa na vilabu mbalimbali ikiwemo Simba,Azam na hata Singida United.
Share.

About Author